Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirishia mafuta ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania, maarufu EACOP

Published: Oct. 24, 2023, 1:44 p.m.

Makala ya mazingira lezo dunia yako kesho juma hili, yanaangazia mradi huu wa ujenzi wa bomba la kusafirishia mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanzania, maarufu kama EACOP, mradi ambao unatazamiwa kugharimu dola bilioni 5.