Mkutano wa CHOGM Rwanda

Published: July 26, 2022, 6:37 a.m.

Makala ya wiki hii, inaangazia mkutano wa CHOGM na Wadau katika sekta ya mazingira kutumia fursa hiyo kuendelea kushinikiza hatua madhubuti kuchukuliwa katika kakabiliana na changamoto za kimazingira zinazoikumba dunia.