Mkutano mkuu wa UN wagusia suala la mabadiliko ya tabianchi, siku ya kimataifa ya kusafisha dunia

Published: Sept. 26, 2022, 4:35 p.m.

Katika mkutano mkuu wa umoja wa wa mataifa UNGA, miongoni mwa masuala yalioibuka ni ni kuhusu utunzaji wa mazingira ili kuepukana na athari za mabadiliko ya tabianchi ambazo dunia inashuhudia kwa sasa. Mbali na mkutano huo, Makala haya pia yanaangazia juhudi zinazofanywa na mashirika yasio ya kiserikali katika kuhifadhi mazingira, na hasa katik asiku ya kimataifa ya kusafisha mazingira iliofanyika Septemba 17 2022.