Mkataba wa mfuko wa kukabiliana na hasara ya uharibifu ulioafikiwa kwenye mkutano wa COP27, Misri

Published: Nov. 29, 2022, 10:21 a.m.

Mkutano wa kiamataifa wa mazingira COP 27 ulishuhudia kuafikiwa kwa mkataba wa kuzinduliwa mfuko wa fedha kushughulikia hasara na uharibifu, fedha hizi zikitarajiwa kuzisaidia nchi masikini na zilizo katika hatari ya kuathirika zaidi na athari za mabadiliko ya tabianchi.