Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho - Fahamu Kilimo cha kijani ( Green house) na Faida zake Kwa Mazingira

Published: July 18, 2016, 10:10 a.m.

Kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi katika mataifa mengi katika bara la Afrika,hii ni kutokana na sekta hiyo imekuwa na mchango mkubwa katika kuchangia pato la taifa haswa kupitia mazao ya Biashara Kupitia Makala yetu juma hili tutangazia juu ya Kilimo cha ndani ya nyumba ya kijani ( Green house) naama Teknolojia hii inavyotumika hasa kuikinga mimea usiathiriwe na mazingira haribifu ya hali ya hewa