Matumizi ya magari na pikipiki za umeme nchini Kenya katika kupunguza uchafuzi wa hewa

Published: Sept. 11, 2023, 6:27 a.m.

Kenya iko mbioni kuimairisha sekta ya usafiri wa uma, na kampuni ya kutengeneza magari ya Roam ni miongoni mwa  zinazolenga kutumia fursa hiyo kuchangia katika kupunguza uchafuzi wa hewa unaotokanana sekta ya usafiri.