Madhara ya ukame kwa upatikanaji wa chakula

Published: Aug. 31, 2022, 4:14 p.m.

Msikilizaji, athari za mabadiliko ya tabianchi, kama vile ukame, lakini pia baadhi ya maeneo kupokea mvua kupita kiasi, ni baadhi ya maswala yanayochangia ukosefu wa chakula kutokana na mafuriko ambayo huathiri ukuzaji wa mimea na kuharibu mazao. Laikini katika ukuzaji wa mimiea wakulima wamekuwa wakihimizwa kukumbatia matumizi yya mnbolea ya asili ili kuboresha mazoa.