Binadamu wanachangia pakubwa kuharibu mazingira: UN

Published: Sept. 2, 2021, 6:29 a.m.

Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho, juma hili inaangazia kuhusu ripoti ya umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchini.