Athari ya sekta ya nguo kwenye mazingira, inachangia asilimia 8 ya utoaji wa gesi joto duniani

Published: Sept. 22, 2023, 10:03 a.m.

Kulingna na  UNEP, sekta hiyo inachangia asilimia 8 ya utoaji wa gesi joto duniani ambayo inachangia mabadiliko ya tabianchi.

Kwa mujibu wa ripoti ya shirika la mazingira la Greenpeace, vitambaa vinavyotumiwa kutengeneza nguo ni nyuzi za sanisia ambazo zinatengenezwa kutoka kwenye mafuta ya kisukuku ambayo pia ni hatari kwa mazingira