Mahujaji kadhaa kutoka Jordan na iran waripotiwa kufa wakiwa kwenye Hijja, Saudi Arabia. - Juni 16, 2024

Published: June 16, 2024, 4:30 p.m.

Matangazo ya saa nzima kuhusu habari za kutwa, ikiwa ni pamoja ripoti kutoka kwa waandishi wetu sehemu mbali mbali duniani na kote Afrika Mashariki na Kati, na vile vile vipindi na makala maalum kuhusu afya, wanawake, jamii na maendeleo.